30 Oct 2025 1:31 pm | Citizen TV 328 views Duration: 1:32 Washukiwa watano, akiwemo aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa mamlaka ya SHA Robert Ingasira wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kutapeli mlipa ushuru zaidi ya shilingi milioni 17.6