21 Nov 2025 1:30 pm | Citizen TV 36 views Mamlaka ya Kitaifa ya kupambana na Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) ikishirikiana na maafisa wa usalama kaunti ya Kitui imewanasa washukiwa wawili wa kutengeneza pombe haramu mjini Kitui.