- 293 viewsDuration: 1:01Wasiwasi kuhusu hali ya usalama katika kaunti ya Mandera unaendelea kuongezeka kufuatia mauaji ya watu sita katika shambulizi la hivi karibuni lililoibua maswali mapya kuhusu usalama wa wakazi wa eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya