Skip to main content
Skip to main content

Wasiwasi watanda sekta ya usafiri kabla ya bei mpya za mafuta kutangazwa

  • | Citizen TV
    5,910 views
    Duration: 2:26
    Jioni ya leo, Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli nchini (EPRA) inatarajiwa kutangaza bei mpya za mafuta huku wasiwasi ukigubika sekta ya usafiri kuhusu bei hizo. Kwenye vituo vingi vya mafuta, waendeshaji magari wameonekana wakijaza mafuta kwa hofu ya mabadiliko hayo.