17 Nov 2025 10:23 am | Citizen TV 237 views Duration: 1:22 Wataalamu wa masuala ya teknolojia nchini sasa wanaitaka serikali kuwawezesha wabunifu katika sekta hiyo kukumbatia mifumo ya akiliunde.