Watu 15 wafariki baada ya basi kugongana na matatu eneo la Mau summit, kaunti ya Nakuru

  • | K24 Video
    33 views

    Manusura wa ajali ya Mau summit, kaunti ya Nakuru ambapo watu 15 waliaga asubuhi ya kuamkia leo wamesema kuwa dereva wa basi la Classic Kings of Congo alikua akiendesha gari hilo kwa mwendo wa kasi haswa alipofika nchini ,swala ambalo limeibua maswali kuhusu umakini wa polisi wa trafiki katika kudumisha sheria za barabarani kati ya 15 waliofariki 6 ni wa wanawake, 6 ni wanaume na watoto watatu. Abiria 47 walinusurika kifo.