- 547 viewsKanda ya video ikionyesha miili ya Wapalestina waliouawa katika shambulizi la anga la Israel. Ndugu na jamaa wamekusanyika katika Hospitali ya AL-Aqsa Martyrs wakijadili kuhusu shambulizi hilo. Mpalestina, Mohammed Rayyan, ambaye ndugu yake aliuawa anaeleza huzuni na simanzi zake: "Watu walikuwa wamelala katika nyumba zao – watoto, mauaji. Je, hizi ni haki za binadamu wavamizi wanazo zizungumzia? Watoto. Je, huu ndio ubinadamu wanaounadii? Watoto wasiokuwa na hatia; ndege wa peponi. Mvulana huyu ni mtoto pekee kwa baba yake. Kwa baba na mama yake. Mama yake huyu hapa, ameuawa shahidi. Na huyu hapa, tunaamini ni shahidi mbele ya Mungu Mtukufu. Hatuna cha kusema lakini kumshukuru Mungu.” Tangu Hamas ilipofanya shambulizi Oktoba 7, mashambulizi ya Israel huko Gaza yameuwa zaidi ya Wapalestina 35,000, kulingana na maafisa wa afya wa Gaza. Hamas inayoongozwa na watu wenye silaha imeua takriban watu 1,200 na kuwateka watu 253 katika uvamizi wa Oktoba 7 waliofanya ndani ya Israel, kulingana na hesabu iliyojumlishwa na Israel. - Reuters #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #helikopta #shambulizi #unrwa #un
'Watu walikuwa wamelala katika nyumba zao -- watoto, mauaji...'
- 15 May 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
- 15 May 2025 - The petition, filed as Bench Petition No. E565 of 2024, was scheduled for May 15, 2025.
- 15 May 2025 - Nandi County Senator Samson Cherargei has opined that Kenya's opposition's expected launch of a new political faction will not successfully topple President William Ruto from power.
- 15 May 2025 - Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
- 15 May 2025 - On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
- 15 May 2025 - Two Kenyan voters are seeking interim conservatory orders to suspend any consideration, vetting, or approval of the seven nominees by the National Assembly.
- 15 May 2025 - The man argued that the constitutional changes would improve executive stability and enhance institutional coherence.
- 15 May 2025 - Lawmakers in the United States Senate are questioning Kenya’s loyalty to America following President William Ruto’s recent trip to China.
- 15 May 2025 - Moi University has issued redundancy letters to hundreds of employees as it reports that the institution is over staffed.
- 15 May 2025 - Police officers could be seen shooting in the air to disperse the crowd.