- 421 viewsDuration: 4:11Watu kadhaa wamepoteza maisha yao katika ajali tofauti za barabarani katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Katika eneo la Konza, watu wanane walifariki huku wengine wakijeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Tahmeed Express limited na matatu ya chama cha Naekana. Ajali nyingine ilitokea katika eneo la Kikopey na kusababisha vifo vya watu watano na nyingine katika eneo la Taita. Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani imesema ajali hizo zinatokana na makosa ya kibinadamu, ikiwahimiza wanaotumia barabara kutahadhari na kuzingatia kanuni za usalama barabarani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive