28 Dec 2025 8:13 pm | Citizen TV 7,118 views Duration: 51s Watu wanne wa familia moja wamefariki huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya kuhusika katika ajali ya barabrani katika eneo la Kuku Farm, hatua chache kutoka wadi ya Turbi kwenye barabara kuu ya Marsabit kuelekea Moyale.