Skip to main content
Skip to main content

Watu wazima Kajiado warejea shuleni kutimiza ndoto zao

  • | Citizen TV
    57 views
    Duration: 59s
    Ndani ya Kaunti ya Kajiado, katika baadhi ya vijiji kuna hadithi ya watu wanaopigania ndoto zao kupitia elimu licha ya changamoto za maisha. Hawa ni wanafunzi wa watu wazima wanaoamini kuwa kujifunza si kuchelewa bali ni mwanzo wa maisha mapya ya kubadilisha ya vizazi vichavyo.