- 368 viewsDuration: 3:49Ndani ya Kaunti ya Kajiado, katika baadhi ya vijiji kuna hadithi ya watu wanaopigania ndoto zao kupitia elimu licha ya changamoto za maisha. Hawa ni wanafunzi wa watu wazima wanaoamini kuwa kujifunza si kuchelewa bali ni mwanzo wa maisha mapya ya kubadilisha ya vizazi vichavyo.