5 Dec 2025 10:16 am | Citizen TV 422 views Duration: 2:09 Watu wenye ulemavu katika Kaunti ya Laikipia wanaitaka serikali kuharakisha utoaji wa mashine za CT Scan na MRI katika hospitali za Nanyuki.