Skip to main content
Skip to main content

Watu zaidi ya 300 wakabiliwa na mashtaka ya uhaini baada ya machafuko ya uchaguzi Tanzania

  • | Citizen TV
    577 views
    Duration: 3:12
    Zaidi ya watu mia tatu nchini Tanzania sasa wanakabiliwa na shtaka kubwa zaidi katika sheria za nchi hiyo - uhaini. Walioshtakiwa walikamatwa baada ya machafuko yaliyofuatia uchaguzi mkuu uliokumbwa na utata mwisho wa mwezi uliopita. Miongoni mwao ni wanasiasa, wanaharakati wa mitandao ya kijamii, raia wa kawaida, na hata watoto wadogo walio na umri wa miaka kumi na tatu