Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi Kajiado wanalalamika kutolipwa mishahara kwa miezi 6

  • | Citizen TV
    424 views
    Duration: 2:51
    Wauguzi zaidi ya 300 ambao waliajiriwa mapema mwaka huu Katika kaunti ya Kajiado wanaishi katika hali ngumu wakidai kukosa malipo kwa zaidi ya miezi sita. Wauguzi hawa wakidai kuwa juhudi zao za kutaka kuzungumza na Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku zimegonga mwamba.