Skip to main content
Skip to main content

Waumini na viongozi wa kanisa la Akorino watofautiana siasani

  • | Citizen TV
    1,918 views
    Duration: 2:45
    Waumini na viongozi wa kanisa la Akorino ambao hawakufika ikulu ya Nairobi hapo jana sasa wanalitaka dhehebu hilo lisitumike kisiasa. Katika mkutano sambamba uliofanyika katika eneo bunge la Kandara kaunti ya Murang'a, kanisa hilo la Akorino limewaonya wanasiasa dhidi ya kuleta migawanyiko kanisani,