Wawakilishi wa kike wapigia debe serikali ya Rais Ruto

  • | Citizen TV
    261 views

    Zaidi ya wawakilishi wa kike 30 nchini wamerindima ngoma ya kumpigia debe Rais William Ruto pamoja na serikali ya muungano huku wakimsuta katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna kwa kukinzana na msimamo wa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga