Wawakilishi wadi wa kaunti ya Uasin Gishu waahirisha vikao wakitaka SRC iangazie mishahara yao

  • | Citizen TV
    131 views

    Bunge la kaunti ya Uasin Gishu limeahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kama njia moja ya kushinikiza tume ya kuratibu mishahara ya wafanyi kazi wa umma, SRC , kuangazia upya nyongeza ya mshahara wao.