7 Nov 2025 11:00 am | Citizen TV 72 views Duration: 1:13 Waekezaji katika sekta ya ujenzi wamelalamikia serikali kuhusu ushuru wa juu unaotozwa bidhaa za ujenzi zinazo agizwa kutoka mataifa ya ughaibuni.