Wazazi katika kaunti ya Kilifi watakiwa kuwa na ukaribu na watoto wao ili wafaulu katika masomo

  • | Citizen TV
    118 views

    Wazazi eneo la Kaloleni kaunti ya Kilifi wametakiwa kuwa na ukaribu na watoto wao kama njia ya kuwasaida kufaulu katika masomo yao. katika warsha iliyowaleta pamoja wadau wa elimu wakiwemo wazazi, walimu na mabalozi wa kutetea maswala ya elimu huko Kaloleni kaunti ya Kwale, ilibainika kuwa wazazi wengi hawana msukumo wa kuwaelekeza wana wao katika masuala ya elimu.