Baada ya siku kadhaa za utulivu mitaani, shughuli za kawaida zimeanza kurejea katika jiji la Nairobi. Utulivu wa msimu wa sherehe unapisha mandhari ya kawaida jijini, huku wasafiri, wachuuzi na familia wakirejelea shughuli za kawaida. Kuanzia kwenye vituo vya mabasi hadi kwenye maduka ya bidhaa za shule, kinachodhihirika ni kwamba msimu wa sherehe umekamilika na maisha ya kawaida kurejelewa. Aaron Marie alizuru sekta mbalimbali na kuandaa taarifa ifuatayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive