Wazazi kote nchini wanalalamikia gharama ya juu ya vifaa vya shule wanapowaandaa wanao kwa kalenda ya masomo ya mwaka 2026. Huku wakifika katika maduka ya kuuza vitabu na sare za shule katika juhudi za dakika za mwisho kuwaandaa wanafunzi kwa muhula mpya, wanachokumbana nacho ni hali halisi ya gharama ya juu ya maisha, ambayo imegeuza kipindi cha kuwarejesha wanao shuleni kuwa mzigo mkubwa wa kifedha. Ian Nzive ana taarifa zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive