4 Nov 2025 10:12 am | Citizen TV 219 views Duration: 1:43 Wazazi pamoja na walezi katika kaunti ya Tana River wamehimizwa kuwa waangalifu msimu huu wa likizo ndefu kwa kufahamu mienendo ya watoto wao na mazingira waliomo.