Wazazi watakiwa kuheshimu haki za kimsingi ya watoto mahuntha

  • | Citizen TV
    99 views

    Idara ya watoto katika kaunti ya Busia imesikitikia visa vya dhulma na kutelekezwa kwa watoto mahuntha. wazazi wamehimizwa kutowaficha watoto hao nyumbani ikiarifiwa kuwa wengi huwaona kuwa aibu na laana. Kaunti ya Busia Ina jumla ya mahuntha 28.Jane Cherotich na taarifa hiyo.