Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa Kaya Fungo Kilifi wanapinga uteuzi wa Mwakwere

  • | Citizen TV
    303 views
    Duration: 1:23
    Baadhi ya wazee wa kaya fungo huko Kilifi wamepinga kuteuliwa na kuapishwa kwa aliyekuwa waziri na mbunge wa Matuga Ali Chirau Mwakwere kama msemaji wa Mijikenda.