- 45 viewsDuration: 2:34Mvutano kati ya walimu na serikali kuhusu utekelezaji wa mpango wa bima ya afya wa SHA unaonekana kupungua kufuatia mkutano wa mashauriano kati ya wawakilishi wa walimu na wizara ya afya. Waziri wa Afya Aden Duale amewahakikishia walimu kuwa changamoto zote za kimsingi zitarekebishwa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya