Waziri Mbadi asema gharama ya uchaguzi ni kubwa kupita kiasi

  • | TV 47
    253 views

    Waziri Mbadi asema gharama ya uchaguzi ni kubwa kupita kiasi.

    Ahoji kwa nini masanduku ya kura hununuliwa kila mwaka wa uchaguzi.

    Serikali kuhoji mwelekeo wa bajeti ya IEBC kwa uwajibikaji.

    Mbadi: Tutatoa fedha kwa chaguzi bila kuchelewesha mchakato.

    IEBC yahimizwa kutumia fedha za umma kwa ufanisi zaidi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __