Waziri Moses kuria adinda kuomba msamaha kwa matamshi dhidi ya wanahabari

  • | Citizen TV
    3,709 views

    Waziri wa Biashara Moses Kuria amesema kuwa hajutii matamshi yake dhidi ya wanahabari na vyombo vya habari. Kuria amezidi kutoa madai yanayohujumu utendakazi wa wanahabari huku akizidisha matusi shidi ya wanahabari. Kuria alitoa matamshi hayo baada ya kuhojiwa na bunge la Seneti kuhusu sakata ya mafuta ya kupikia.