Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa afya Aden Duale aagiza hospitali ya Moi kusuluhisha matatizo yanayokumba maafisa wa afya

  • | Citizen TV
    377 views
    Duration: 1:45
    Waziri wa afya Aden Duale ametoa maagizo kwa bodi ya usimamizi ya hospitali ya rufaa na mafunzo ya moi kusuluhisha matatizo yanayokumba maafisa wa afya katika hospitali hiyo.