Waziri wa elimu awaonya walimu dhidi ya kuongeza karo

  • | Citizen TV
    155 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amewaonya walimu wakuu katika shule za sekondari ya msingi (JSS) dhidi ya kuongeza karo wanafunzi wanapoingia shuleni jumatatu wiki ijayo.