20 Nov 2025 10:13 am | Citizen TV 509 views Duration: 2:20 Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watoto duniani waziri wa jinsia, utamaduni na huduma kwa watoto Hannah Cheptumo amependekeza marekebisho ya sheria ili washukiwa wa dhuluma dhidi ya watoto wafungwe maisha.