Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa kawi Opiyo Wandayi ahojiwa na kamati ya bunge kuhusu mafuta ya viwango duni

  • | Citizen TV
    315 views
    Duration: 1:33
    Waziri wa kawi Opiyo Wandayi ameiambia kamati ya bunge ya kawi kuwa hakuna mafuta ya kiwango duni yaliyoingizwa nchini. Kulingana naye, ndiye aliyemwarifu rais kuhusu mafuta hayo yaliyoagizwa kinyume cha sheria.