Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ahojiwa na kamati ya Kawi bunge la kitaifa

  • | Citizen TV
    1,598 views
    Duration: 3:31
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi anashikilia kuwa hakujua lolote kuhusu sakata ya uagizaji wa mafuta nje ya mpango wa serikali, akisema kamati maalum ya kukagua viwango vya mafuta nchini iliidhinisha uagizaji huo. Wandayi amesisitiza kwamba hatajiuzulu kutokana na sakata hiyo, akisema uchunguzi unaoendelea utamwondolea makosa. Kumekuwa na tumbojoto nchini ya kutaka Wandayi ajiuzulu huku bei ya mafuta ikitarajiwa kubadilishwa hapo kesho.