Waziri wa ulinzi Duale aongoza mkutano wa usalama Garissa

  • | Citizen TV
    166 views

    Kufuatia mashambulizi za kila mara yanayolenga maafisa wa usalama Kaskazini Mashariki, wakuu wa usalama wakiongozwa na waziri wa ulinzi Aden Duale na katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo waliongoza mkutano na wadau wa usalama katika eneo la Masalani kaunti ya Garissa ili kujadili mbinu za kupambana na ugaidi.