- 815 viewsDuration: 3:15Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameiaambia kamati ya bunge kuhusu usalama kwamba wanasiasa na watu wenye ushawishi mkubwa ndio wanaowalipa vijana ambao wanazua fujo nchini. Hata hivyo, kulingana na murkomen, serikali imeweka mikakati kabambe ya kupambana na magenge hayo ya wahuni.