23 Dec 2025 7:03 pm | Citizen TV 379 views Duration: 1:15 Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameongeza muda zaidi wa kafyu katika maeneo yanayokabiliwa na machafuko huko transmara, kaunti ya Narok.