20 Nov 2025 1:21 pm | Citizen TV 423 views Duration: 1:56 Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, ametoa onyo kali kwa wakazi wa eneo bunge la Marakwet Mashariki kaunti ya Elgeyo Marakwet dhidi ya kushiriki kwenye vitendo vya ukeketaji.