4 Nov 2025 7:57 pm | Citizen TV 631 views Duration: 1:10 Wadau katika sekta ya usafiri wametoa wito kwa wahudumu wa uchukuzi kutumia huduma za usafiri wa kidigitali ili kupiga jeki sekta hiyo inayozidi kuwavutia wakenya wengi.