19 Nov 2025 7:46 pm | Citizen TV 902 views Duration: 1:35 Shirika la afya duniani who limetoa msaada wa ambulensi 14 za kisasa pamoja na dawa zenye thamani ya shilingi milioni 350 ili kuboresha huduma za afya kwa umma kote nchini, haswa kwa kina mama wajawazito na watoto wachanga