18 Nov 2025 10:16 am | Citizen TV 326 views Duration: 1:21 Baadhi ya wanasiasa wa chama cha ODM kutoka kaunti ya Garissa wamewahimiza viongozi wakuu wa chama hicho kuwahusisha wenzao wenye maoni tofauti ili kuepuka mpasuko unaokodolea macho chama hicho