Skip to main content
Skip to main content

Wito wa utendakazi bora na uwajibikaji washimiri kwenye maombi ya kila mwaka Nairobi

  • | Citizen TV
    300 views
    Duration: 2:57
    Wito wa utendakazi bora na uwajibikaji umeshamiri kwenye maombi maalum ya kila mwaka yaliyoandaliwa kwa wafanyakazi hapa Nairobi. Wafanyakazi wa serikali wakiwemo mawaziri walijumuika kwa ibada katika kanisa la All Saints hapa Nairobi ambako wametoa shukrani kwa umoja na ushirikiano wa wakenya na serikali