16 Apr 2026 1:23 pm | Citizen TV 249 views Duration: 1:23 Wizara ya afya imebaini kaunti 26 ambazo zinakabiliwa na idadi kubwa zaidi ya vifo vya kina mama wakati wa kujifungua.