Wizara ya Elimu yakagua magonjwa ya wanafunzi walemavu

  • | Citizen TV
    100 views

    Wizara ya elimu kupitia taasisi za masomo maalum inaendesha ukaguzi wa magojwa tofauti ya ulemavu yanayowakumba wakenya. Zoezi hilo linaloendelea kote nchini linalenga watoto ili kutoa ushauri kuhusu aina ya shule wanazopaswa kujiunga nazo.