15 May 2026 1:14 pm | Citizen TV 291 views Wizara ya kawi na petroli yasema kuwa ongezeko la bei ya mafuta limetokana na mabadiliko makubwa katika soko la kimataifa kufuatia mzozo unaoendelea mashariki ya kati.