- 2,218 viewsDuration: 3:02Zaidi ya kina mama mia moja katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki wamesalia hospitalini baada ya kujifungua kwa kukosa kulipa bili ya matibabu. Wengi wao ni kina mama wenye umri mdogo ambao wanaishi Kayole, huku wawili wakitoka nchi jirani.