- 52 viewsDuration: 2:28Tamasha ya muziki ya humu nchini katika eneo la Nairobi imeingia katika siku yake ya pili katika shule ya upili ya wasichana ya Buruburu. Zaidi ya vipengele 600 vya mashindano vimewasilishwa na washiriki kutoka shule mbalimbali. Toleo la 95 la tamasha hylo linalenga kuandaa mustakabali wa kiuchumi wa vijana wa humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive