Zaidi ya wanafunzi 12,000 wakata rufaa ya kupangwa upya wakisema hawakuwekwa vitengo visiyofaa

  • | NTV Video
    17 views

    Zaidi ya wanafunzi 12,000 wanaofaa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu wamekata rufaa ya kupangwa upya, wakisema kwamba waliwekwa katika vitengo vsiyofaa katika ufadhili. akizungumza katika kaunti ya Naivasha, Mkurugenzi Mtendaji wa hazina ya vyuo vikuu, geoffrey monari, alikiri kuwa idadi kubwa ya wanafunzi imekata rufaa kulingana walivyopangwa upya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya