Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wanaume 30 walitoka vijijini ili kusafiri Urusi

  • | Citizen TV
    6,055 views
    Duration: 4:46
    Sasa imebainika kuwa zaidi ya wanaume 30 kutoka vijiji vitatu jirani walisafiri kwa kazi za kwenda kupigana nchini urusi. Zaidi ya miezi mitatu baada ya taarifa za wakenya kusajiliwa kupigana urusi kujitokeza, Vincent Ndung'u kutoka gatundu anasimulia namna alivyosafiri kwa urahisi kutoka nchini na kisha kutoroka urusi na kurejea nyumbani, akifichua namna wenzake kadhaa kutoka eneo hilo walivyosafiri kwa maisha bora.