21 Jan 2026 10:11 am | Citizen TV 201 views Duration: 2:06 Serikali ya kitaifa imesisitiza dhamira yake ya kulinda maisha na vyanzo vya riziki huku maeneo kadhaa ya nchi yakiendelea kukumbwa na hali ya ukame.