17 Nov 2025 10:56 am | Citizen TV 3,418 views Duration: 9:18 Usajili wa makurutu wa polisi umeanza kote nchini. katika kaunti ya Mombasa, zoezi hilo linafanyika katika uwanja wa Mvita.