- 965 viewsDuration: 2:01Huko Mombasa idadi ndogo imeshuhudiwa huku baadhi ya vijana wakishindwa kushiriki baada ya kufika wakiwa wamechelewa. Simon Ndiwa afisa anayesimamia zoezi hilo eneo la Mvita amewataka vijana kujitayarisha mapema kwa kuhakikisha wana stakabadhi zinazohitajika kwa usajili wa makurutu.